AY – DAN’HELA Lyrics
AY DAN’HELA Lyrics
Haya Haya haaa
Dan’hela
Inaonesha kabisa
Hupendi watu
Sogea karibu
Bila wewe jua maisha
si kitu, Dan’hela
Oooh Oooh Oooh
Inaonesha kabisa
Hupendi watu
Usingepotea
Dan’helaaah
Bila wewe jua maisha si kitu ayayaaah
Nimekubamba
Wanakutongoza
Kila mmoja
Anakuhitaji uwe kwake
Wengine mpaka
Wana kuvusha boarder ilimradi kwao we ulainike
Shughuli ni watu
Na mimi si kiatu
Niahidi kitu
Hutoniacha mtupu
Kila nikikuona moyo
wangu, haujiwezi
Namimi siku moja
Nitaenjoy lako penzi danhela
Muda mwingi nakuwaza
Niwe macho au
Kwa njozii
Namimi siku moja
Nitaenjoy lako penzi danhela..Danhela
Inaonesha kabisa hupendi watu sogea karibu
Bila wewe jua maisha si kitu, Dan’hela
Oooh ooohh
Inaonesha kabisa
Hupendi watu
Usingepotea
Dan’helaaah
Bila wewe jua maisha si kitu ayayaaah