Tasafu Lyrics by Harmonize

Tasafu…
Olalalalaaaala
Tasafu…
Mkombozi wa wanyonge…
Wowowowowoo
Hizi ni baadhi ya faida,
Maendeleo yanayoletwa na tasafu
Aaaah…!
Wote tunayaonaa…
Barabara za jana sio
Ka za leo,
Nyingi zilikuwaga chafuu
Miradi tunaiyonaa
Hizi juhudi za serikali

Kuzinusuru kaya maskini
Wale wanyonge wasio na hali…
Yaani wenzangu na mimi
Yaani bara la zanzibari,
Wasioweza ku fanya kazi mjini…
Kwa miradi mbalimbali
Wajinusuru na umaskini
Oooh…! oooohh
Doctor John Pombe Magufuli
Anaiyunga mkono
Tasafu
Doctor Ally Mohammed Shein
Anaiyunga mkono
Tasafu…
Mama Samia Suluhu
Anaiyunga mkono
Tasafu

Check Out:  Harmonize – Inanimaliza Lyrics