Khaligraph Jones – Hao Lyrics
Hao Lyrics by Khaligraph Jones Ft. Masauti
Hao, hao wanaona mwangaza ila
Hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana ila mziki majanga
Lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda hao
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea
Ku appologise ia watu haujakosea
Ka we ni msofti utasema wanakuonea
Ka we ni mjanja utabidi umezoea
Watakutusi ndo u-catch ndo wacheke
Wakishakutusi mara that, hao wasepe
Udaku inapigwa na kasheshe
Ukianguka kwa sakafu unapigagagwa mateke
Kukua celebrity gharama
Ju wakishakujua ni lawama
Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama
Sai Twitter amegeuziwa ye ni mtoto wa Diana
Hakuna huruma……
Hao, hao wanaona mwangaza ila
Hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana ila mziki majanga
Lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda hao
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea
Ku appologise ia watu haujakosea
Ka we ni msofti utasema wanakuonea
Ka we ni mjanja utabidi umezoea
Watakutusi ndo u-catch ndo wacheke
Wakishakutusi mara that, hao wasepe
Udaku inapigwa na kasheshe
Ukianguka kwa sakafu unapigagagwa mateke
Kukua celebrity gharama
Ju wakishakujua ni lawama
Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama
Sai Twitter amegeuziwa ye ni mtoto wa Diana
Hakuna huruma……