Foby – Baba Lyrics
Foby Baba Lyrics
Baba ndiyo mbegu
Inayopandwa kwenye shamba la mama
Baba ndiyo jungu kuu
Halikosagi ukoo
Likianza jambo
Nyumbani
Baba ndo wa kwanza
Kukabiliana nalo
N likiletwa jambo
Wewe ndiyo wa kwanza
Mboga hakuna
Baba
Wa toto Shule
Baba
Watoto wanaumwa
Baba
Baba baba baba
Kwa wakwe shida
Baba
Nyumbani Shida
Baba
Kila kitu
Baba
I love u dady
Baba we ni Chuma Chakavu
Chuma Kipya
Kwenye ugumu mkakamavu unapita
Upewe za uso
Ama za mbavu
Unavumilia
Wewe ndo Nguzo
Waleta unga’avu
Kwenye familia
Wengi wanamdharau baba
Wengine wana mkejeli Baba
Wengine wanasema baba ni katili
Likianza jambo
Nyumbani
Baba ndo wa kwanza
Kukabiliana nalo
N likiletwa jambo
Wewe ndiyo wa kwanza
Mboga hakuna
Baba
Wa toto Shule
Baba
Watoto wanaumwa
Baba
Baba baba baba
Kwa wakwe shida
Baba
Nyumbani Shida
Baba
Kila kitu
Baba
I love u dady
Baba baba
Nakupenda baba
Ohhh Baba