Otile Brown – Leila Lyrics
Leila Lyrics By Otile Brown
Oooh yeah
Aah aah yeiyeee
Alright
Anaitaka hapati
Alijaliwa kidhamini Yeiyei yeiyee mmmh
Hakika mwana akipenda kweli
Atapigana vita vingi
Aibu sio penzi
Hivyo unampendea nini Wakati kila kutwa anakuliza
Unang’ang’ania nini
Ni zaidi ya heri sivuti Wanaume wengi ni kama [?]
Hawamaanishi wasemacho
Ni waongo hawafai
If I was your lover
Ningedhamini penzi lako
Style bora
Mwanamke anahitaji matunzo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Changu chako, chako changu mi nawe, na wewe Tena niacha utoto, kutwa kucha
machangu, nikuoe
Nitakuwa shujaa wako [M] nitaliwaza [?] mama
Ukinihitaji mama, nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Nipigie simu yangu
If I was your lover
Ningedhamini penzi lako
Style bora
Mwanamke anahitaji matunzo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
If I was with you Leila
If I was with you Leila
If I was with you Leila
si j’etais avec toi ?
If I was with you Leila
Ningekupenda ipasavyo my beiby
Si c’etait moi ?