Stivo Simple Boy – Love Ya Mtaa Lyrics
Love Ya Mtaa Lyrics by Stivo Simple Boy Feat. VIRUSI MBAYA, PHLEXIBLE , VDJ JONES
Au sio, au sio
Ni genje ni mbaya
Ndio manake
(Made in Kibera Productions)
Phlexible
Wanataka nihasi mtaa imenijenga mimi
Haiwezekani, hata sidhani
Wacha niwashow utam wa mtaa zetu ni gani
Utamu wa Kayole ni U-Khali
Ngoma zetu zinawashika kiserekali
Ukienda Dago huwezi toka Zzero
Mat za Ronga zipewe makofi ya kilo
Na roll kila mtaa like a boss
Stivo Simple Boy but bado nafloss
Kutoka Nairobi Mandera mpaka Coast
Hio ndio time ya kila mtaa kuboss
Number ni on top SimpleBoy on the spot
Dar es Salaam, Kigoma wako locked
Kampala, Rwanda tumewarock
Vibe ya mtaa sai ndo inatalk
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa [Chorus: Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto [Virusi Mbaya] Nairobi shamba la mawe reason wasee ni mastoner
So niko chini ya mwamba na usiniulize mbona
Hata Eastleigh siku hizi mi huingianga easily
Niko Mathare hauskii na-advice machizi G
Twende Thika tuone ka tutamake Kenya Mpya
Tumake mtaa ka Dubai hakuna cha chai dubia
Afadhali dubia lakini maboy wasichai
Wakiget high sana watapoteza uhai
Simple Boy tulia kuna wasee lazima wamedi
Kwanza we ni bro kam nikusetie mahedi
Zii zii mi sidai hio kitu
Mi hubeba masalt hata kama siko mavitu
Line saba on top na Virusi will never stop
So wakidiss mama zao si tunabig up Addis Ababa
One Love mtaani tunakaa Nairo
So tunabig up wasee wote hadi wa Cairo
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa
[Chorus: Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto [Chorus: Phlexible] Uptown, downtown love ya mitaa
I make them feel love ya mitaa
Uptown, downtown love ya mitaa
Hii ni real love ya mitaa [Chorus: Virusi Mbaya] Utam wa mitaa si ku hama mtaa
Buy ndae kali ingia na Hummer mtaa
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
Bila nywele nafeel niko na peace
Upendo wa marafiki unanimake at this
Niko comfortable ni ka nakalia sofa
Love ya mtaa imenifikisha so far
Wasikuchoche ati watakutoa huku Ghetto
Kitu hawajui ni hawawezi kutoa Ughetto
Au sio, ndio maanake..