Diamond Platnumz – Naanzaje Lyrics
Naanzaje Lyrics by Diamond Platnumz
Aliumba ardhi
Akaumba mbingu
Akiumba mbala mwez
Akaumba nafsi
Akaumba wivu
Akuayaumba na mapenz
Na kukuacha sidhani
Siwezi jaribu
Maana penzi kwa mizani
Umenizidi makdhibu
Shika vyema usukani
Twende Taratibu
Baadae tuta baby
Koleza gear
Yani tam tam kama pipi
Nakuita sweet sweet
Arote arote
Fundi kwenye kwichi kw
Shape fiti
Kama lote
Vipicha nishadelete
Sitaki cheat
Watoke toke
Kwenye moyo nimekupa si
We ndo dereva
Sa kukuacha ooh
Naanzaje, naanzaje
Naanzaje, mwenzako ooh
Kukuacha siwezi
Naanzaje, naanzaje
Naanzaje, mwenzako ooh
Kukuacha siwezi
hadidhi kuja
Haadidhi njoo
Utamu kolea
Mwenzenu huba liko kwa roho
Imeninogea
Vishenshuda poleni oh
Mnalo wambea
Mtaja kubwa ama
Kuwasha koo
Kwa kutuongelea
Tena mi kwake ndo kwake daktari
Nampa tiba halali
Wanaiitaga sukari
Alamba hamn
Na jana nlifunga nkaswali
Nikamwomba jalali
Tuepushe madhohari
Ya wanadamu
Ahah, we mtamtam kwa pipi
Nakuita sweet
Arote rote
Fundi kwenye kwichi kwichi
Shape fiti
Kama lote
Vipicha nishadelete
Sitaki cheat
Watoke toke
Kwenye moyo nimekupa si
We ndo dereva
Sa kukuacha ooh
Naanzaje, naanzaje
Naanzaje, mwenzako ooh
Kukuacha siwezi
Naanzaje, naanzaje
Naanzaje, mwenzako ooh
Kukuacha siwezi
Na kukuacha sidhani
Siwezi jaribu
Maana penzi kwa mizani
Umenizidi makdhibu