Aslay – Mozzah Lyrics
Mozzah Lyrics by Aslay
Mmmmm
Oh
Mmmmmm
Mozzah
Mozzah wangu mama
Moo
Unaniliza sana
moo
Nakukumbuka saaana
Moo mmm
Yana nikuta mwezako
Baada tu ya kifo chako
Aaai mozzah waaangu
Na heshimu malezi yako
Nakuombea mwenzako
Nawe niombee mtoto wako
Aai mozzah waaangu
Mi nateseka mwenzako
Mweee…nzangu wee! aaah
Uliteseka kuhusu mimi
Ulilala na njaa nile mimi
Ulingombana na majirani
Kisa tu hutaki nipigwe mimi wee
Najua unanisikia ila kunijibu
Ndio huwezi
Mwanao
Sifuri sio mia
Naomba niombee kwa mwenyezi
Aaa mozzah wangu mmmmhhh
Asefikii baba nina watoto
Wananiita baba
Tena si haba kuna mmoja
Jina kalibeba
Anaitwa mozzah wa jina wakoo
Moo moo moo mozzah
moo moo mo I miss you my mother
Moo moo moo mozzah
moo moo mo I miss you my mother
Mmmmm e le le mama
Mmmmm mama mmmmm
Ulikuja kama mama kumbe malaika
Fungua mbawa zako
Mama uweze kuruka
Umenifundisha mema mengi
Ya sio hesabika mama
aaayeee
Nanimechoma shuka ulizotandika
Maana nikisiona machozi ya tiririka
Nanimepanda mti pale
Ulipotapika mama mmmm
Duniani ulipendwa sana
Hadi walilia walio kutukana
Kwenye ndoto nakuona mama
Ukopeponi unakula tu unajema
Mama
I miss you mama
Oh mama eeh mama eeh aah
Machozi ya gonga hodi
Mm ila nikilia haurudi mmm
Najiweka kwenye mudi
Mama sijachoka
Nakuombea kwa God mmm
Msosadi
I miss you mama Japo Haurudi
Yeye yaya
Mooo mozzah
I miss you mama
mo mo
I miss you mama