Centano – Mapenzi Au Pesa Lyrics
Mapenzi Au Pesa Lyrics by Centano
Niko na mawili
Kwenye kichwa
Mapenzi au pesa
Na siwezi kupoteza
vyote uh la la
Hunipi amani
Hunipi pressure
Acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la
Hello hello hello
I know you love me
Hello hello hello
I know you need me
ila tatizo drama
nakujiona unapendwa
sana unajiona we
wa maana
unasumbuua sana
hivi kitu ngani
we hupaati
Labda sikupi kwa wakati
Cheza
Na mwili wangu
Usicheze na akili usicheze
Hisia zangu usicheze na mimi maana
Taji wa masikini
Nguvu zangu mwenyewe
Nguvu zangu mwenyewe
Sina baba sina mjomba
Tajiriii
nguvu zangu
Mwenyewe
Mwenyewee
Niko na mawili
kwenye kichwa mapenzi
Au pesa na siwezi kupoteza vyote uh lala
Hunipi amani hunipi pressure
Acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la
Pesa nayo nini nilikosea
Maana inanikimbia usiku
Mchana naiita
Haitaki kuiitikia
vimeumana
taabu sana
Vyuma vimekaza taji ya kima sanaa
Namuomba usiku mchana mungu anipee
Na jasho la myonge mungu alifutee
Natumia akili sana nguvu nto yoote
si unaona babaa bless me babaa
Taji wa masikini
Nguvu zangu mwenyewe
Nguvu zangu mwenyewe
Sina baba sina mjomba tajiriii
Nguvu zangu mwenyewe
mwenyewe
Niko na mawili kwenye kichwa mapenzi au pesa
Hunipi amani hunipi pressure
Acha nitafte pesa
Na siwezi kupoteza vyote
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la
ooh la la
Ooh la la