Mr. Seed – My Toto Lyrics (Ft. Khaligraph Jones)
My Toto Lyrics by Mr. Seed Ft. Khaligraph Jones
Yeaaah
Let’s go
Mr. Seed again
Mr. Seed what up
Khaligraph Jones
One two three let’s go
Mmmh AkA katoto balaa
My girl
my toto
Kastyle kako fiti
Huyo mtoto anang’aa
My girl
my toto
Kako sawa ata kawe
Kwenye jeans au dera
My girl
my toto
She’s the girl of my dreams
And she lights up my life
My girl
my toto
Baby, I don’t wanna
waste your time
Mama I just wanna make you mine
Mama baby be with me for life
Namuonanga kwa ndoto
Hey I don’t wanna waste your time
I just wanna make you mine
Mama baby be with me for life
Wawili
Wawili
Wawili
Mh na yeye
I wawili namuwaza
Namuwaza namuona kwa ndoto
namuona kwa ndoto
Wawili
Wawili
Wawili
Mh na yeye
I wawili namuwaza
Namuwaza namuona kwa ndoto
namuona kwa ndoto
My toto, my sherry
umenifanya kitu
Mh siwezi kuexplain
Tangu nikuone kwa ndoto waheri
Nami nataka jua if you feel the same
Namuona kwa ndoto namuona kwa dream
Na vile mh ni mtu social nakutaka
in my ting
Niko na roho za kukupea
Maisha moja supreme
Naweza kukufanya royal
Ju mimi hapa nto king hehe
Mh nimetumwa kwako
Kutoka kwa mungu
Shetani sae
Najua amejaa na majungu mali kasafi
Si basi apigwe munju ka
Kiswahili hapati
Nampa kizungu
What up mama yeah
You look hella spicy
What’s your intention
Really you tryna entice me
She look at me and she like highly
Im likely you only get up a$$
Only if you wanna wife me
Baby, I don’t wanna
waste your time
Mama I just wanna make you mine
Mama baby be with me for life
Namuonanga kwa ndoto
Hey I don’t wanna waste your time
I just wanna make you mine
Mama baby be with me for life
Wawili
Wawili
Wawili
Mh na yeye
I wawili namuwaza
Namuwaza namuona kwa ndoto
namuona kwa ndoto
Wawili
Wawili
Wawili
Mh na yeye
I wawili namuwaza
Namuwaza namuona kwa ndoto
namuona kwa ndoto