Aslay – Easy Lyrics
Easy Lyrics by Aslay
Hasira za nini wakati
Umemwacha mwenyewe
Tabia mbaya
Vurugu za nini sitaki
Ugonvi na wewe
Tabia mbaya
Ulimuona wa nin
mimi kwangu wa thamani
Alikuja kachafuka
Nikamuosha kwa sabuni
Alikuja amenuna
Nikageuka katuni
Najua kumchekesha hasubuhi na jioni
Baniani m’baya kiatu chake dawa
Usione kapendeza
Mwenzako namwaga hela
Hivi ni kipi
Kinacho kusumbua aah
Kama ulimpenda
Kwa nini ulimwachia
Kwa taarifa yako
uyu simwachi
Nitakaba mpaka penati
Nitamroga ntamkinga ili usipate nafasi
Si ulimuona mfupa basi bnautafuna mimi fisi
Nitamganda ntamuonga mpaka ufe kwa stress