Harmonize – Na Nusu Lyrics
Na Nusu Lyrics by Harmonize
Eii
Mwanamke ni mtu na nusu
Mmmmh
Kukatishwa tamaa usiruhusu
Mhmmh
Mwanamke nl mtu na nusu uuh uh
Kurudishwa nyuma usiruhusu
hmmm
Na kama mwanaume ndlo kichwa
Cha familla
Basi mwanamke ndio shingo
Na kiwillwill
Amani ya mume alie bora