Dulla Makabila – Nasema Lyrics
Dulla Makabila Nasema Lyrics Ft Mczo Morfan
Nimekaa nalo limenishinda mi nasema
Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema
Nimekaa nalo limenishinda mi nasema
Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema
We kuna siri zao nazijua
Ila kusemaga ndo sipendi
Mzee wa Bwax alipiga mtungo
Tena watu walikuwa kikundi
Mejja kafumaniwa Rozana
Mpaka leo meno hana
Msaga amekosa dili la maaana
Sababu hajui kusoma
Manfongo hali yake mbaya
Mpaka sikukuu show hana
Sholo Mwamba hataki meneja
Usela kazidisha sana
Isema na ana nyimbo mbili
Tayari kanenenepeana
Iskibe nadhani mtoto wa mama
Naskia wanagombea bwana
Basi wanangu mi nawasanua
Sababu siri zenyu nazijua
Wanangu mi nawasanua
Nikikaa kimya mnaniona fala
Ooh jamani mi nawasanua
Ah kutwa kucha mnaniongelea
Wanangu mi nawasanua oo
Sababu siri zenyu nazijua
Yaani mengine yanasikitisha
Na mengine yanachekesha
Yuda msaliti alopandaga ndege
Leo shida zinamzeesha
Vidonda za mio ebu acheni upendeleo
Yudah msaliti alopandaga ndege
Tami mwana uongozi
Mpaka leo anaishi kwao
Tumemsahau Kapala
Ila ye kwetu ndo Baba
Mc Sudi na Ponela
Yameshakuwa mapaka ya baa
Basi wanangu mi nawasanua
Sababu siri zenyu nazijua
Wanangu mi nawasanua
Nikikaa kimya mnaniona fala
Aah jamani mi nawasanua
Ah kutwa kucha mnaniongelea
Wanangu mi nawasanua oo
Sababu siri zenyu nazijua,…