Goodluck Gozbert – Hasara Roho Lyrics
Hasara Roho Lyrics by Goodluck Gozbert
Penda nipende nikiwa
Hai sio nikifa
Na tena ni bora
Uniambie ukiniona
Vile unavyonisaidia usinitangaze
Utanisiri bwana wewe
Usicheke (Usicheke)
Maana kesho huoni (Hauoni)
Ya duniani ni siri
Kupita za moyoni
Tena niombee nami niwe na heri
Kati ya wenye furaha sitokusumbua
Kama shilingi (shilingi)
manoti (manoti)
Yaani hizo ni per dm
zisikuchanganye
Kesho filimbi (filimbi)
Kama roboti (roboti)
Haya maisha ni gwaride
Yasikuchanganye
Hasara roho,hasara roho
Hasa basi basi tukumbukane
Hasara roho,hasara roho
Hasa basi basi tukumbukane
Washatabasamu walau kwa moja
Ibaki kwenye moyo usipandishe vioo
Maisha ni tofauti
Ukishiba shukuru
Ona walio wengi
Wanalia na njaa
kama huwezi nisaidia
usiniumize
Ya duniani ni siri kupita za moyoni
Tena niombee
nami niwe na heri
Kati ya wenye furaha sitokusumbua
Kama shilingi (shilingi)
manoti (manoti)
Yaani hizo ni per dm
zisikuchanganye
Kesho filimbi (filimbi)
Kama roboti (roboti)
Haya maisha ni gwaride
Yasikuchanganye
Hasara roho,hasara roho
Hasa basi basi tukumbukane
Hasara roho,hasara roho
Hasa basi basi tukumbukane