Chege – Peku Peku Lyrics Ft Mrisho Mpoto
Peku Peku Lyrics by Chege Ft. Mrisho Mpoto
You you you you you (uuuh)
You you you you you
Mbona unacheka unadeka kama
mtoto
Leo sina viatu pekupeku kama mpoto (aaaaeeeh)
Mbona unacheka unadeka kama
mtoto
Leo sina viatu pekupeku kama mpoto (aaaaeeeh)
Tufurahi tufurahi kwa penzi jipya
nafurahi nimepata kimwana mpyaa
Tufurahi tufurahi kwa penzi jipya
nafurahi nimepata kimwana mpyaa
(oooh mama)
Kama kocha mcheza nacheza mie, ahee
Pachu pachu kinoma nipachulie, ahee
Biashara ya utumwa sifanyi mie ahee
Pachu pachu kinoma nipachulie, ahee
Kwa staara, ustaarabu
Kwa ishaara nashukuru naona mie, ahee
Kwa staara, ustaarabu
Kwa ishaara nashukuru naona mie, ahee
Mbona unacheka
Unadeka kama mtoto
Leo sina viatu
Peku peku kama Mpoto
Mbona unacheka
Unadeka kama mtoto
Leo sina viatu
Peku peku kama Mpoto
Sitokubadili nimetia nanga
Tufe wawili, mi na wee
Sina hata dalili ya kuachana mi nawe
I love you
Namumunya kama mfenesi
Maana tamu kama nanasi
Nimsahau kabisa Ex
Aaahee, aheee
Tukutane pale pale
Kunipe vitu hatari hatari
Na ulivyo mpole mpole
Aaahee, aheee
Kwa staara, ustaarabu
Kwa ishaara nashukuru naona mie, ahee
Kwa staara, ustaarabu
Kwa ishaara nashukuru naona mie, ahee
Mbona unacheka
Unadeka kama mtoto
Leo sina viatu
Peku peku kama Mpoto
Mbona unacheka
Unadeka kama mtoto
Leo sina viatu
Peku peku kama Mpoto
Mjomba kutembea peku sio kazi
Kazi ni kujua unako kwenda ni salama
Au kuna miiba
Kama salama, basi nenda mjomba
Tufurahi, tufurahi kwa penzi jipya
Nafurahi nimepata kimwana mpya
Tufurahi, tufurahi kwa penzi jipya
Nafurahi nimepata kimwana mpya
Kama kocha mcheza nacheza mie, ahee
Pachu pachu kinoma nipachulie, ahee
Biashara ya utumwa sifanyi mie ahee
Pachu pachu kinoma nipachulie, ahee