Mr Blue – Watakubali Lyrics
Watakubali Lyrics by Mr Blue FT Allionaire
Hii game ni yangu Bizzey
Kila wakiniona ninayo na sijazaliwa nayo
Nachana naachana nayo sina mpango nayo
Atazileta tu habari zenu Millar Ayo
Watajileta tu MCees wenu wafuate nyayo
Leo nawarusha old school mambo hayo
Wakiskia voom voom link kwenye bio
Collabo na dullayo
Nawapiga chega na tobo za dumayo
Kicheche mpenda pesa
Ushafika kwa Mr Shayo
Mcee mwenye presha kachimbe kaburi lako
Kipaza, kipaza, kipaza sauti
Mamatha, mabratha, mafather saluti
Dunia inashangaza utashangaa mpaka umauti
Madogo wakulungu watume nyuti
Hatukurupuki kunyesha tunanyesha baba
Hatiuchuruzuki tumechill tuko full
Hatufurukuti vichwa havizunguki
Vichwa hivi vichwa sio vichwa mikuki
Vichwa ukiweka vichwa tunavishuti
Vichwa akili fupi, vichwa vinawaza chupi
Vichwa vinamwiga Snoopy stupid