Snura – Mkuno Wa Nazi Lyrics
Mkuno Wa Nazi Lyrics By Snura
Mkuno wa nazi mkunoo
Mkuno wa nazi mkunoo
Kama unaweza
Kama unaweza
Kama unaweza
Tumia kushoto mkuno eeh
Kama unaweza
Tumia kulia mkuno eeh
Kama unaweza
Twende kichali chali mkuno eeh
Kama unaweza
Twende kifudi fudi mkuno eeh
Bembea eeh
Bembea eeh
Bembea eeh
Bembea eeh
Bembea mtoto
Nyamanza mwana kulia
Bembea mtoto
Ukilia waniliza
Bembea mtoto
Nyamanza mwana kulia
Bembea mtoto
Ukilia waniliza
Bembea mtoto
Usinikemee swaleh
Namlaza mtoto wa Najra
Usinikemee swaleh
Namlaza mtoto wa Najra
Babu Juma nipigie kwakwaru
Kwakwaru kwakwaaa
Usinikemee swaleh
Namlaza mtoto wa Najra
Anta nipigie kwakwaru
Kwakwaru kwakwaaa
Kwakwaru kwakwaaa
Kama unaweza
Tumia kushoto mkuno eeh
Kama unaweza
Tumia kulia mkuno eeh
Kama unaweza
Twende kichali chali mkuno eeh
Kama unaweza
Twende kifudi fudi mkuno eeh
Kijembe kongoka mpini
Nikutie kibanio
Nimepata dereva ajuae
Gari yangu yaenda mbio
Sogelea mwana usimwache
Sogelea mwana usimwache
Cheza na mimi
Cheza na yule
Mama nataka kulewa
Ngojea nilewe
Nikisha anguka
Pombe utakunywa wewe
Mama nataka kulewa
Ngojea nilewe
Nikisha anguka
Pombe utakunywa wewe
Nataka donoa haya donoa
Nataka donoa haya donoa
Nataka donoa haya donoa
Nataka donoa haya donoa
Mama nataka karanga
Ka ukarange na ule mdude