Whozu – Aah Wap!! Lyrics
Aah Wap!! Lyrics By Whozu Ft. BADDEST 47
Nitrend nimeachika si nipost Juma Lokole
Na nianze kufilisika alafu nijifanye mlokole
Yaani mi nishindwe kula eti kisa tumeachana
Akati ukiniunblock oh
kesho yake tunaruidiana
Sema
Aah wee, aah wapi?
Aah wee, aah wapi?
Aah wee, aah wapi?
Aah wee, aah wapi?
Yaani unipeleke disco
unirudishe bila demu
Nisikujigi jigi
Kisa unaniitaga shemu
Nitume na ya kutolea
Hujawahi nipa game
Vunja bei na Mobetto
Eti ni mtu na shemu
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Eti mwanamke hapigwi
Analabwa kisigino
(Aah wapii…)
Nasikia shilole
Uchebe kamng’oa jino
(Aah wapii…)
Nurse katumwa majibu
Mh kaleta kipimo
(Aah wapii…)
Anakasura kazuri
Ila anabonge la shii…
Sema ahh weeh
(Aah wapii…)
Sema tena
(Aah wapii…)
Eeeh eeh aah wapii
ati mpaka nikupost
Ndo ujue nakupendaa
(Aah wapii…)
Kwanza mapenzi hawaforce
Kama hautaki kwendaa
(Aah wapii…)
Sa wanakunywa enesi
Boss kaagiza safari
(Aah wapii…)
Kaagiza kuku mzima
Boss kaagiza kidari
(Aah wapii…)
Sema aaah weeeh
aiyaa mamaa
(Aah wapii…)
Naulizaga aah weeh
vutaa vutaaa
(Aah wapii…)
Eeeh Sema aaah weeeh
aiyaa mamaa
(Aah wapii…)
Naulizaga aah weeh
vutaa vutaaa
(Aah wapii…)