Young Lunya – Announcement Lyrics
Announcement Freestyle Lyrics By Young Lunya
Oh My
Tatizo ni pale ambapo ananiona
Na wana kibao utadhani ni jeshi
Nakuaga na piece kazi yao ni kucheka
Hata kama kuna kitu hakichekeshi
Unajitangaza una beef na mimi
Wakati levo zako za kina Tekashi
Vijembe vyenu havinikondeshi
Nishawalenga na huwa sikopeshi
Wats poppin?
Ona kama vile ukikaa kwenye beat haunati
Mbona naskia mtaani kwako we ni bonya
Unakaaga na piece na ung’ati
Pia nimesikia we ni msee
Wa kugongea gongea beat au bati
Bahati haupati nakuwaga na manoti
Kama vile niko team ya Hush Puppy
Toa utakavyoweza baba angu
ila mimi huwezi kunitoa
Michano ni mahesabu madogo
Hata yakiwa makubwa tunakokotoa
Naanza anza vipi kuwahurumia
Na mmesha anza kunya ninapokojoa
Si wamekuleta nitachokufanya
Nitakurudisha walipokutoa
I’m killing these rappers nikiwa on my zone
Na tupo wengi mimi ni wa mwanzoni
Madaqda wa mjini wanataka muwa
Na nikiwapa muwa wanachoona p0rn
Ni OMG nitazame usoni
Ni OMG imekufanya unione
Ndo OMG nikitega uchumi
So OMG tunarudi soon
Whuuu
Kwanza nawakera wana ambao
Shpappi zao nipo ringtone
Nikiona unaelekea kunijua sana
Sikufahamu sipokei phone
Na nikiona mnajifanya mnachana sana
Kwa kizungu nawaitia CON
Kwa kiswahili pambano hakuna
Nawafinya nawatia mfukoni
Naji maintain
hata mi mwenyewe
Ni gang gang
Haunikosi kwenye top twenty
Kua zombie ili ukae trending
Ningekupea ngapi tena ten
Nainayokufaa ni four over ten
Dunia ina mambo ndo ilivyo
Anavimba sana ndo nilivyo
Wamekuwa ispired na mimi thou
Sa hivi wananidiss eti here we goo
I don’t well know what’s spy?
Kisa nachana kwa maringo
na kunipata mnipati ng’oo
mngejua mngefanya boringo
Wanajua fika mziki ni mnene
Ila bado bado wanajitutumua
Wengine washasema sitofika mbali
Kisa tu na shine na nishawajua
Mambo ya ajuabu nakaza kusuka mipango
Wanataka kuifumua
masihara leta hata kwa wife
Ila kwenye kazi nitakupasua
African goat he kill them shaa
Wakija mapema nawakalisha shaa
Kuhusu masinema mi ni nguli haswaa
Piga kwenye ulimb9o kanasa
unanifananishaga na nani sasa
vimbaumbau navipiga msasa
ukinipenda tunaenda sawasawa
ukinichukia si basi sasa
Mana binadamu anaweza akakupenda
Ukiuliza sababu hakuna kwanini
Ukiwa mwanangu afu
Unapenda sana mambo ya watu nakupiga chini
Wanalundikani wakikosa kazi
Wana discuss nitachuji lini
Kuna vitu vya kuviweka benki
Na kuna vitu vya kuweka akilini
Baadhi ya watu wanakuwaga wanoko
Hujawahi hata kumuona ila anakununia
Ndo yale membo unakuta DJ hapa hapigi
Ngoma zako na anakuvimbia
Nimeshazoea kupondwa mgongoni
japo wakiniona wananisifia
najivunia kua mtanzania
na hii ndo local package ya dunia
Hii hiii