Zuchu – Hasara Lyrics
Hasara Lyrics by Zuchu
Mi sitaki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Nisije tenda dhambi
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu wa Mungu
Naogopa dhambi
Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Nisije tenda dhambi
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu wa Mungu
Bora nihame kambi
Kwa masubira nina mwisho
Ina mwisho wake maana
Staki kukuona
Nimekoma staki
Bora nihesabu tu kama ni
Hasara aah, hasara aah
Hasara aah, hasara