Benzema – Bypass Lyrics Ft. Sauti Sol
Bypa$$ Lyrics By Benzema Ft. Savara (Sauti Sol)
Kuna rada nilisahau kuwaambia
Kuna chuom moja tunafaa kupitia
Kuna madem mashashola na mabeer
Ia ia, eeh na pia
Madem ni sare na vijana ni mia
Na ka utafika bei nitakuadisia
Vibes ni true hakuna za bandia
Ia, ia, ia
Nimecheki Google Maps, Google Maps
Hauskii kuna jam hadi Naks
Nimecheki Google Maps, Google Maps
Hauskii kuna jam hadi Naks
Basi tutumie bypa$$, bypa$$
Mdogo mdogo, bypa$$, bypa$$
TukTuk kwa bypa$$ hapana
Tutatumia RangeRover ya Savara
Tupitie Jamia ninunue kashata
Speed ya gari hubeba jaba
Mdogo mdogo ndani ya jeep
Leo tunanyonya ngata kama tick
Niko kwa moti na Ric
Lift si hupea maarif
Kama baridi inakutesa tesa
Njoo nikupe form (Form)
Nipitishie pon de leftment
Iende chain
Benzema na Savara
Wanapendaga mavela
Melanin rangi sawa
Changanisha na aiyela
Nimecheki Google Maps, Google Maps
Hauskii kuna jam hadi Naks
Nimecheki Google Maps, Google Maps
Hauskii kuna jam hadi Naks
Basi tutumie bypa$$, bypa$$
Mdogo mdogo, bypa$$, bypa$$
Leo tutanyongea, bypa$$, bypa$$
Zitawakia, bypa$$
Bypa$$, ma ma ma..mavelaa
Bypa$$, a a a..aiyelaa
Bypa$$, ma ma ma..mavelaa
(ABH Sound baby)