Lava Lava – Najidai Lyrics
Najidai Lyrics By Lava Lava
Popular Tanzanian act, Lava Lava is here with a brand new tune titled “Najidai” and we drop song lyrics below.
Aaah Aaaaaaaah! [Verse 1] Nenda Mwambieni
Aliniacha Hohehae
ZimÕkie Salamu Sasa Nala
Pensheni Kuchikuchi
Hotae Nishapata Kinyama Chahamu Waaala TusingeÕka Mbali NIiona Dalili
Bora Kila Mtu Kivyake
Waaala Mapenzi Si
Ujabarii Asikalili Akadhani Yuko Pekeyake
Eenh Sasa Niko Huru Staki Kusafa Nanenepa Nina Nuru Bila Baafa Wale Mandege Makunguru Walinichachafya Mambo Yakawa Vururu Nikahama Tarafa
[Chorus] SaaS a
Najidai Najidai Nimempata Mpenzi Ooh Saasa Najidai Najidai Nimepata Mtetezi Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana Zawauma Roho Ooh Sina Mahaba Yamwendo Kasi Si Twapeana Wachafukwe Roho Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana Zawauma Roho Mwenzenu Sina Mahaba Yamwendo Kasi Si Twapeana Wachafukwe Roho Ooh
[Verse 2] Naweka Wazi Bila Kwikwi Hadharani Nanena Mnisikiee Mbona Mtachonga Viazi WanaÕki Mkikesha Kusema Ya kwetu
Sie Mimi Na Yeye Mpaka Parapanda Neng’enekeni Karogeni Mshinde Kwa Waganga Nazi Vunjeni
Kazaneni Endeleeni Kuchamba Yote Seemeni Semeeni lla Mtaisoma Namba Eeh Sasa Niko Huru Staki Kusafa Nanenepa Nina Nuru Bila Baafa Wale Mandege Makunguru Walinichachafya Mambo Yakawa Vururu Nikahama Tarafa
[Chorus] Saasa Najidai Najidai
Nimempata Mpenzi Ooh Saasa
Najidai Najidai Nimepata
Mtetezi Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho Ooh Sina Mahaba
Yamwendo Kasi Si Twapeana Wachafukwe Roho Mii Siina
Sina Wasiwasi Nanenepeana
Zawauma Roho Mwenzenu Sina Mahaba
Yamwendo Kasi Si Twapeana Wachafukwe Roho Ooh
[Outro] Eh Wenyewe Twajinafasi
Hatutaki Ushambenga Hatutaki Ushambenga Twajimwayamwaya
Hatutaki Ushambenga Hatutaki Ushambenga Komeni Wenye Roho Mbaya
Hatutaki Ushambenga Hatutaki Ushambenga Mahasidi Wanaizaya
Hatutaki Ushambenga Hatutaki Ushambenga Ona Wanagwayagwaya