Rayvanny – Woza Lyrics Ft. Diamond Platnumz
Woza Lyrics by Rayvanny Ft. Diamond Platnumz
Twende Twende Twende
Twende apo twende twende twende
Ayayaya
Twende pozi Twende pozi Twende pozi
Twende pozi Twende pozi eeeh ayayayaya
Kisigino kisigino kisigino kisigino
Gusa kisigino twende shuka shuka shukaa
Kisigino kisigino kisigino kisigino
Gusa kisigino twende shuka shuka shukaa
Be bega be bega be twende moja mbili tatu
Be bega be bega be twende moja mbili tatu
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikitongoza dame wa mtu sio mimi ni pombe
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikitongoza dame wa mtu sio mimi ni pombe
Ningininginia chini Ningininginia chini
Ningininginia kama kidondoka mi simo
Ningininginia chini Ningininginia chini
Ningininginia chini kama ukidondoka mi simo
Mai maiko mai maiko mai maiko
Wueh wueh wueh
Mai maiko mai maiko mai maiko
Wueh wueh wueh
Kama una shepu matataa tikisa
Tuone io woza woza matataa
Chezesha tuone io
Dada una shepu matataa tikisa
Tuone io woza woza matataa
Chezesha tuone io
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikidondoka niokote sio mimi ni pombe
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikikuchiti usinune sio mimi ni pombe