Mabantu – UTAMU Lyrics
Utamu Lyrics By Mabantu
Ucha, Unapunguza utamu
Kirrru unapunguza utamu
Kalle unapunguza utamu
Si wanapanagube
Unapunguza utamu
Bijye, Ongeza sawudara
Fo pongoza sqratchizo
Bombwe zako zinatukata
Unapunuguza utamu
Alafu boss ka unagiza
Giza crate mambo yako
Agiza ka moja moja
Unapunguza utamu
Ni ajye madamu kama
Unanipa wenipa syakata
Ukimwe ukwera condom
Alafu dada kama unakatika
Kata mambo yako sema nese
Kombabe unapunguza utamu