Otile Brown – Aye Lyrics
(Marry Me) Aye Lyrics by Otile Brown
Otile Brown is here with a brand new single titled “Aye” and we are happy to drop song lyrics below…
Aaaah mmmmh baby..
Beautiful mungu kampatia
Unavigezo naitaji na fahamu fika
Ila mapenzi mtihani ndo bado sijaupita
Maranyingine uendeshwa na ujana nakuaibisha
Kwanza nikupongeze kwa kunivumilia
Mbele ujaa na moshi nakung ang ania
Who you merry me baby
Aye aaah aye mmmh eyoo….eyoo
Mmmmm…Aye aaah aye mmmh eyoo…eyoo
The kind woman, special kind woman
Mama yako kakufunda vyema
Uzuri wako tabia yako ndo inayo nivutia
Nikama hadithi nzuri au tunaigiza kipindi
Jinsi tuna pendana
Kwanza nikupongeze kwa kunivumilia
Mbele ujaa na moshi nakung ang ania
[REPEAT] Aye mmmh aye mmmm eyaah
Who you merry me
Aye mmmh aye mmmm eyaah
na yoooooouuuuuuuu
ooooowwww oooowwww yiii
aye mmmmm aye