Rayvanny – Mwamba Lyrics
Mwamba Lyrics by Rayvanny
Mwamba mi nabelea minabelebele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mara akivaa ozi mwamba
Hana matatizo mwamba
Tajiri hana baya mwamba
Yaani amenyoka mwamba
Nilikuzunguka kila kona
Kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anayefiaa
Wambea jua inawachoma
Mukaroge tanga bagamoyo
Mungu kapangaye hamuezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi
Chochote tena namshiki
Namchumu hamsemi chochote
Nameba pia hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simwogopi yeyote
Mama mi nabelea minabelebele
Mama mi nabelea minabelebele
Mwana apite mbele apite mbelembele
Mwana apite mbele apite mbelembele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Hana kipela mwamba sio baili mwamba
Tenahajarogwa mwamba
Tajiriamenoga mwamba
Nilikuzunguka kila kona
Kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anayefiaa
Wambea najua inawachoma
Mukaroge tanga bayamoyo
Mungu kapangaye hamuezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi
Chochote tena namshika
Namchumu hamsemi chochote
Nameba pia hamnifanyi chochote
Huyu ni wangu natamba simwogopi yeyote
Mama mi nabelea minabelebele
Mama mi nabelea minabelebele
Mwana apite mbele apite mbelembele
Mwana apite mbele apite mbelembele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa
Mwamba huya hapa