Baba Levo – Tena Lyrics
Tena Lyrics by Baba Levo
Take five now
Yo
Yo
Mungu mwenye baraka
Nakushukuru kwa hizi baraka
Naimba ninavyotaka
Fungua njia nivuke mipaka
Nyoka zidi kuwaka
Nipate nitoe sadaka
Waonyeshe binadamu
Bila wewe ni takataka
Niliwapa hi hello
Wakasema nimeongea
Ewe jini wakajifariji
Ndege kawaonea
Baba Levo kalikamata
Jiji sasa wanaongea
Wamekubali tuko levo siti
Ngoma inapepea
Mi ni mtata
Ndo maana nawatatiza
Wanashanga kilema nawakimbiza
Hawanitaki ila nishang’ang’ aniza
Na siwaachi nazidi kukandaniza
Majemedali wamekubali
Kwamba mi ni soo
Nitafika mbali nizidishe flow
Hawanati tena wanajiona choo
Samatta samatta amefunga go gooo
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mmeichokaza mizuka
Nimechafukwa na kinanuka
Hata mvua inyeshe wameyatimba
Vumbi itaruka
Wajanja wanasanuka
Wahamba kinawashuka
Na hii haina kufeli
Songa karibu
Nikupe ukweli
Nishapiga makila ngoma
Ma midundiko mpaka singeli
Ila mambo tu yamegoma
Au wadau ni matapeli
Wanaopewaga nafasi
Kijiwe nongwa tu hamna keli
Tunaonyimwaga nafasi
Sio madarasa ni majokeri
Kigoma mwisho wa reli
Mlicho kifanya mtafeli
Asante kwa mashabiki
Wanaonipa kila la kheri
Pole kwa wanafki
Wanaosifu kwa kukejeri
Muda ndo umefika
Tutapambana pambana
Wanaotangaza vita
Mi ndo kidume nani mwingine
Wachena vikwazo napita
Mi ndo kidume nani mwingine
Hauwezi kuniongopea
Siishi kwa mazoea
Nataka nipewe darasa
La kuwafunza na kukemea
Watu niwape hamasa
Za kuwatunza na kuzomea
Kisha nifanye siasa
Wenye kuimba nikigombea
Hahahaa
Eeh bhana T
Nitawanyoosha hawa
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)
Mnataka tena
(Haii)
Mnataka nini
(Haii haii)