Hemed PhD – Lawama Lyrics
Lawama Lyrics by Hemed PhD
Haa haiya
Haa haiya
Ukasepa mara ya pili
Ukazidi niumiza roho
Nikapiga goti kwako
Mama nakuomba urudi
Hautaki, haunitaki tenaa
Haujui kama naumia moyoni
Haujui kama unaniumiza moyoni
Anauliza mama yuko wapi simuoni
Nitamjibu nini mtoto mwanamke
Kuwa na huruma weee
Sitaki lawama, lawama
Lawama, Lawama
Umenivuruga akili
Umeniacha buba katili
Moyo umeukoroga dhahiri eehh
I’m serious, You laughing
I been really, You acting
Furaha yangu siipati eehh
Baby haujui haujui
Haujui kama naumia moyoni
Haujui kama unaniumiza moyoni
Anauliza mama yuko wapi simuoni
Nitamjibu nini mtoto mwanamke
Kuwa na huruma weee
Sitaki lawama, lawama
Lawama, Lawama