Kikosi Kazi – Kazini Lyrics
Kazini Lyrics By Kikosi Kazi
Watamaduni si ndo tunatunza hii culture
Hahaha mnatunza culture gani rapture
Au ni ya kusuka rasta
Haturap ili kukuza CV
Mko chapter one mnapaswa kuongeza bidii
Ah hatusound the same tuko different
Mnarap kama madem na reference
Tuna differ in preferences
Kwenye game kuna witnesses
Ndio maana mnahit wepesi
Kinacholit ni kesi
Huu moto mliowasha mtateketea
Si mnadhani kuna media itawatetea
Wameanza kuibomoa kamati
Wakati wenu ndo umefika tamati
Una collabo na Chidma, Collabo na AK
Collabo na Davido na zote hazina impact
Mnaongoza kwa fitna ni kama majike
Mtapigwa mapigo mpaka mbleed kwa vichwa
Mnakurupuka bila mipango
Mpake Eazy anasound kama Jose Mitambo
Nawachoresha picha na mi topic yangu
Ningetosha kuwaficha
[Nikki Mbishi] Wazee wa kitonga tunatosa maganga
Gangeronga juwe hawa swagga za kinyonga
Wanajiita murderous
No wonder wakinyongwa no kusanda
Hata sorcerous huwanga wakiroga
Banga za kiboya, pamba za kishoga
Jiji limehama mmegeuka dump la mizoga