Lexx Kinyua – Siku Yangu Lyrics
Siku Yangu Lyrics By Lexx Kinyua
Ooh mama
Hata kama niko low
Na sina doh
Maisha napitia
Sina njia
Yakupenya ninahema
Natia bidi
Najua one time nitapenya
Penye nia pana njia
Leo niko chini na kesho niko juu
Wengi wameshapitia
Wakojuu nasasa walikuwa chini
Penye nia pana njia
Leo niko chini na kesho niko juu
Wengi wameshapitia
Walikuwa chini na sasa wako juu
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu
Ooh mama
Ni miaka mingi sijakuona
Endelea kuniombea
Na ile nyumba nitakujengea
I’m clocking one job to another, yeah
I ain’t stopping for my mother, yeah
I go hard for my mother, yeah
I’m clocking one job to another, yeah
I ain’t stopping for my mother, yeah
I go hard for my mother, yeah
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Siku yangu inakuja
Mama i will make you, make you
I will make you proud
Mama i will make you, make you
I will make you proud